Madarasa Ya Kiswahili / Swahili Classes
Neema Za Mungu Kwetu / God’s Grace Upon Us
Ramazani Emena
Moyo wa mwanadamu unawaza sana mabaya kuliko mema, na kwa neema zake Mungu , tumgeukie tukitenda mema tangia sasa wakati tungali hai, wala tusisubiri kesho... Wahebr 4:16
Human beings hearts think more about bad things than good things, by the Grace of God, let's turn to Him by doing God's will right now, while we are still alive. Do not wait for tomorrow... Heb 4:16
Mushukuru Mungu Kwakila Jambo / Give Thanks to God No Matter What Happens
Oliver Ruboniza
Kulingana na maisha ambayo tunaishi maisha ya juu na chini ya mwanadamu, wakristo maalum watu ambao wanajua kitu juu ya biblia, hatuna chochote cha kulalamika kwa sababu maisha yote yameandikwa katika Biblia.
1 Wathesalonike 5:18
According to a life that we are living the up and down life human being life, special christians people who knows something about bible, we have nothing to complain because all of life is written in the Bible.
1 Thessalonians 5:18
Waliko Mzuri / A Lovely Invitation
Djuma Mkata
somo: Matayo 11:28-30
Huu ni mwaliko mzuri kwa wale ambao wanataka kukutana na Yesu Kristo kama Mwokozi na Bwana wao pekee
Reading: Matthew 11:28-30
This is a lovely invitation to those who want to meet Jesus Christ as their only Savior and Lord
Ruthu, Mwanamke Mmoabu / Ruth, the Moabitess
Innocent Baruani
Ruthu alirejea na Naomi kutoka nchi ya Moabu na alipokelewa vizuri katika jamii ya Israeli. Aliolewa na Boazi na ni wazi kwamba ametajwa katika ukoo wa Masia kwenye Matayo 1:5. Na ilikuwa je, Mmoabu kuikwepa marufuku aliyoweka Mungu katika Kumbukumbu la Torati 23:3? Kukubaliwa kwa Ruthu katika mkutano wa Bwana kulitokana na uwingi wa rehema na fadhili kwa Yehova. Kuitwa kwake ni sawa na kwetu, " si kwa andiko, bali kwa roho..."
Ruth returned from Moab with Naomi and was wholeheartedly received in Israel. She married Boaz and is notably included in the line of Messiah in Matthew 1v5. But, how then could a Moabitess bypass God's injunction of Deuteronomy 23v3? Ruth's acceptance into the congregation of the Lord is due the "merciful and gracious" nature of Yahweh. Her calling is a piece with ours, “not of the letter, but of the spirit..."
Mazungumzo Ya Moja Kwa Moja / Live Roundtable Discussion
Bro. Benoit
Jiunge na wasemaji wetu wa Kiswahili kutoka wiki katika mazungumzo mazito ya Kiswahili juu ya nyenzo zao za darasa. Itawapa wasikilizaji nafasi ya kuuliza maswali yao na kuwajua ndugu na dada kutoka kote ulimwenguni!
Join our Swahili speakers from the week in a lively Swahili discussion about their class material. It will give listeners a chance to ask their questions and get to know brothers and sisters from around the world!
Kisha nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu wasiohesabika: watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. Nao walikuwa wamesimama mbele ya kiti cha enzi na mbele ya Mwanakondoo, wakiwa wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.
Wakapaaza sauti: "Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa Mwanakondoo!
- Ufunua was Yohana 7:9-10